1 Samueli 11:3 BHN

3 Wazee wa Yabeshi wakamwambia, “Tupe muda wa siku saba ili tuwatume wajumbe katika nchi yote ya Israeli. Kama hakuna mtu yeyote wa kutuokoa, tutajisalimisha wenyewe kwako.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 11

Mtazamo 1 Samueli 11:3 katika mazingira