1 Samueli 11:4 BHN

4 Wale wajumbe walipofika mjini Gibea, alikoishi Shauli, wakaeleza habari hizo na watu wote wakaanza kulia kwa sauti.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 11

Mtazamo 1 Samueli 11:4 katika mazingira