1 Samueli 12:17 BHN

17 Je, sasa si wakati wa kuvuna ngano? Lakini mimi nitamwomba Mwenyezi-Mungu alete radi na mvua, nanyi mtatambua na kuona kuwa uovu wenu mliotenda mbele ya Mwenyezi-Mungu kwa kujitakia mfalme, ni mkubwa.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 12

Mtazamo 1 Samueli 12:17 katika mazingira