18 Basi, Samueli akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu na Samueli.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 12
Mtazamo 1 Samueli 12:18 katika mazingira