1 Samueli 12:19 BHN

19 Hivyo wakamwambia Samueli, “Tafadhali utuombee sisi watumishi wako kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ili tusife; kwa sababu tumezidisha dhambi zetu kwa uovu huo wa kujitakia mfalme.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 12

Mtazamo 1 Samueli 12:19 katika mazingira