1 Samueli 12:7 BHN

7 Sasa simameni papo hapo mlipo ili mimi na nyinyi tuhukumiwe mbele ya Mwenyezi-Mungu, nami nitawahutubia kuhusu matendo yake ya ajabu ambayo aliyatenda ili kuwaokoa nyinyi na babu zenu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 12

Mtazamo 1 Samueli 12:7 katika mazingira