1 Samueli 12:8 BHN

8 “Yakobo na jamaa yake walipokwenda Misri, na Wamisri walipowakandamiza, babu zenu walimlilia Mwenyezi-Mungu; naye akawatuma Mose na Aroni ambao waliwatoa babu zenu nchini Misri na kuwafanya mkae katika nchi hii.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 12

Mtazamo 1 Samueli 12:8 katika mazingira