57 Mara tu Daudi aliporudi kambini baada ya kumuua Goliathi, Abneri alimchukua na kumpeleka kwa Shauli. Wakati huo Daudi alikuwa bado amechukua kichwa cha Goliathi mikononi mwake.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 17
Mtazamo 1 Samueli 17:57 katika mazingira