30 Jeshi la Wafilisti lilikwenda kupigana na Waisraeli, lakini kila mara walipopigana vita, Daudi alipata ushindi kuliko watumishi wa Shauli; hivyo jina lake Daudi likazidi kusifiwa sana.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 18
Mtazamo 1 Samueli 18:30 katika mazingira