1 Samueli 19:1 BHN

1 Shauli alimweleza mwanawe Yonathani na maofisa wake juu ya mpango wake wa kumwua Daudi. Lakini Yonathani, mwanawe Shauli, alimpenda sana Daudi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:1 katika mazingira