1 Samueli 19:2 BHN

2 Kwa hiyo, akamwambia, “Baba yangu anakusudia kukuua. Hivyo, jihadhari. Kesho asubuhi, jifiche mahali pa siri, ukae hapo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:2 katika mazingira