1 Samueli 19:3 BHN

3 Mimi nitakuja na kusimama karibu na baba yangu huko shambani mahali utakapokuwa. Hapo nitaongea naye juu yako, na kitu chochote nitakachogundua kutoka kwake, nitakueleza.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:3 katika mazingira