1 Samueli 19:4 BHN

4 Yonathani alimsifu Daudi mbele ya baba yake, akamwambia, “Usitende dhambi dhidi ya mtumishi wako Daudi kwani yeye hajatenda dhambi yoyote dhidi yako; matendo yake yote anapokutumikia daima yamekuwa mema kwako.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:4 katika mazingira