5 Kokote Daudi alikotumwa na Shauli, Daudi alifanikiwa. Hivyo, Shauli akamfanya kuwa mkuu wa jeshi lake. Jambo hilo liliwafurahisha watu wote hata watumishi wa Shauli.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 18
Mtazamo 1 Samueli 18:5 katika mazingira