1 Samueli 18:6 BHN

6 Askari walipokuwa wanarudi nyumbani, pamoja na Daudi baada ya kumwua yule Mfilisti, wanawake kutoka kila mji katika Israeli walitoka kwenda kumlaki mfalme Shauli. Wanawake nao walikuwa wanaimba nyimbo za furaha, wakipiga matari na vinubi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 18

Mtazamo 1 Samueli 18:6 katika mazingira