1 Samueli 19:11 BHN

11 Usiku huo, Shauli alituma watu nyumbani kwa Daudi wamwangalie kama yuko ili apate kumwua asubuhi. Lakini Mikali, mke wa Daudi akamwambia Daudi, “Kama huyasalimishi maisha yako usiku huu kesho utauawa.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:11 katika mazingira