1 Samueli 19:10 BHN

10 Shauli alijaribu kumchoma Daudi kwa mkuki huo, Lakini Daudi alikwepa mkuki wa Shauli na mkuki ukapiga ukuta. Daudi akakimbia na kutoroka.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:10 katika mazingira