1 Samueli 19:9 BHN

9 Kisha, roho mbaya kutoka kwa Mwenyezi-Mungu alimjia Shauli alipokuwa amekaa nyumbani kwake akiwa ameshika mkuki mkononi, wakati ambapo Daudi alikuwa akipiga kinubi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:9 katika mazingira