1 Samueli 19:16 BHN

16 Wale watu walipoingia nyumbani kwa Daudi na kukiangalia kitanda waliona kuna kinyago na mto wa manyoya ya mbuzi kichwani.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:16 katika mazingira