17 Halafu Shauli akamwuliza Mikali, “Kwa nini umenidanganya? Umemwacha adui yangu atoroke?” Naye Mikali akamjibu Shauli, “Aliniambia, ‘Niache niende nisije nikakuua.’”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 19
Mtazamo 1 Samueli 19:17 katika mazingira