1 Samueli 19:18 BHN

18 Daudi alipotoroka, alikwenda Rama kwa Samueli. Alimweleza Samueli mambo yote aliyomfanyia Shauli. Basi, Daudi na Samueli walikwenda na kukaa huko Nayothi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:18 katika mazingira