1 Samueli 19:20 BHN

20 Ndipo Shauli alipopeleka watu wakamkamate. Lakini walipolikuta kundi la manabii likitabiri na Samueli akiliongoza, roho ya Mungu iliwajia wale watumishi wa Shauli, nao pia wakaanza kutabiri.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:20 katika mazingira