21 Shauli alipoambiwa habari hizo, alituma watumishi wengine, nao pia wakaanza kutabiri. Shauli alipotuma watumishi wengine kwa mara ya tatu, nao pia wakaanza kutabiri.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 19
Mtazamo 1 Samueli 19:21 katika mazingira