24 Alivua mavazi yake akawa anatabiri mbele ya Samueli. Alibaki uchi kwa siku moja, mchana na usiku. Kwa hiyo watu walianza kujiuliza, “Je, Shauli naye pia amekuwa mmoja wa manabii?”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 19
Mtazamo 1 Samueli 19:24 katika mazingira