1 Samueli 19:23 BHN

23 Naye Shauli akaenda huko Nayothi katika Rama. Alipofika huko, roho ya Mungu ilimjia, naye alianza kutabiri akiwa njiani mpaka alipofika Nayothi katika Rama.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 19

Mtazamo 1 Samueli 19:23 katika mazingira