17 Dhambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Mwenyezi-Mungu. Maana, vijana hao walidharau matoleo ya Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 2
Mtazamo 1 Samueli 2:17 katika mazingira