1 Samueli 21:1 BHN

1 Daudi alikwenda kwa kuhani Ahimeleki huko Nobu. Ahimeleki akatoka kumlaki huku akiwa anatetemeka, akamwuliza, “Kwa nini umekuja hapa peke yako?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 21

Mtazamo 1 Samueli 21:1 katika mazingira