1 Samueli 21:13 BHN

13 Hivyo, akabadilisha tabia yake, akijifanya mwendawazimu, akawa anakwaruzakwaruza kwenye malango ya mji, na mate yake akayaacha yatiririke kwenye ndevu zake.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 21

Mtazamo 1 Samueli 21:13 katika mazingira