1 Samueli 23:14 BHN

14 Basi, Daudi alibaki ngomeni jangwani, katika nchi ya milima ya mbuga za Zifu. Shauli alimtafuta kila siku, lakini Mungu hakumtia Daudi mikononi mwa Shauli.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:14 katika mazingira