1 Samueli 23:13 BHN

13 Kisha, Daudi na watu wake ambao walikuwa kama 600, waliondoka na kwenda popote walipoweza kwenda. Shauli aliposikia kwamba Daudi amekwisha kimbia kutoka Keila, akaiacha mipango yake yote.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:13 katika mazingira