24 Basi, wakaondoka kwenda Zifu, wakimtangulia Shauli.Wakati huo, Daudi na watu wake walikuwa katika jangwa la Maoni, katika bonde la Araba kusini mwa Yeshimoni.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 23
Mtazamo 1 Samueli 23:24 katika mazingira