1 Samueli 23:25 BHN

25 Shauli na watu wake wakaanza kumtafuta Daudi. Lakini Daudi alipoambiwa habari hizo, alikwenda kujificha kwenye miamba, iliyoko katika mbuga za Maoni na kukaa huko. Shauli aliposikia habari hizo, alimfuatilia Daudi huko kwenye mbuga za Maoni.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:25 katika mazingira