26 Shauli na watu wake walikuwa upande mmoja wa mlima, na Daudi na watu wake walikuwa upande mwingine wa mlima. Daudi alipokuwa anaharakisha kukimbia, Shauli naye alikuwa anamkaribia kumkamata Daudi.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 23
Mtazamo 1 Samueli 23:26 katika mazingira