1 Samueli 23:3 BHN

3 Lakini watu wa Daudi wakamwambia, “Kama tukiwa hapahapa Yuda tunaogopa, itakuwaje basi, tukienda Keila na kuyashambulia majeshi ya Wafilisti?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 23

Mtazamo 1 Samueli 23:3 katika mazingira