1 Samueli 25:13 BHN

13 Hivyo Daudi akawaambia watu wake, “Kila mtu na ajifunge upanga wake kiunoni.” Kila mtu akajifunga upanga wake, na Daudi pia akajifunga upanga wake; watu wapatao 400 wakamfuata Daudi na watu 200 wakabaki na mizigo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:13 katika mazingira