1 Samueli 25:14 BHN

14 Kijana mmoja wa Nabali, akamwambia Abigaili, mkewe Nabali, “Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani ili kumsalimu bwana wetu. Lakini yeye aliwatukana.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:14 katika mazingira