17 Sasa fikiria juu ya jambo hili na uamue la kufanya. Jambo hili laweza kuleta madhara kwa bwana wetu na jamaa yake yote. Yeye ni mtu mbaya na hakuna anayeweza kuzungumza naye.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 25
Mtazamo 1 Samueli 25:17 katika mazingira