1 Samueli 25:18 BHN

18 Abigaili akafanya haraka, akachukua mikate 200, viriba viwili vya divai, kondoo watano walioandaliwa vizuri, kilo kumi na saba za bisi, vishada 100 vya zabibu kavu, mikate ya tini 200, na vitu hivi vyote akavipakia juu ya punda.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:18 katika mazingira