1 Samueli 25:23 BHN

23 Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi hadi uso wake ukagusa chini.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:23 katika mazingira