24 Alijitupa miguuni pa Daudi na kumwambia, “Bwana wangu, hatia yote na iwe juu yangu tu. Nakuomba niongee nawe mimi mtumishi wako. Nakuomba usikilize maneno ya mtumishi wako.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 25
Mtazamo 1 Samueli 25:24 katika mazingira