1 Samueli 25:28 BHN

28 Nakuomba unisamehe mimi mtumishi wako. Mwenyezi-Mungu atakupa jamaa imara kwa sababu, wewe bwana wangu, unapigana vita vya Mwenyezi-Mungu. Wakati wote wa maisha yako usipatikane na baa lolote.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:28 katika mazingira