1 Samueli 25:29 BHN

29 Kukitokea watu wakikufuatilia na kutaka kuyaangamiza maisha yako, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, atayasalimisha maisha yako pamoja na walio hai. Lakini maisha ya adui zako atayatupilia mbali, kama vile mtu atupavyo jiwe kwa kombeo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:29 katika mazingira