34 Kwa hakika, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, amenizuia nisikudhuru. Usingefanya haraka kuja kukutana nami, kwa hakika, kesho asubuhi hakuna mwanamume yeyote wa Nabali angesalia.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 25
Mtazamo 1 Samueli 25:34 katika mazingira