35 Kisha, Daudi akapokea vitu vyote ambavyo Abigaili alikuwa amemletea, akamwambia Abigaili, “Rudi nyumbani kwako kwa amani. Tazama, mimi nimeyasikia uliyoyasema, na ombi lako nimelipokea.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 25
Mtazamo 1 Samueli 25:35 katika mazingira