1 Samueli 25:36 BHN

36 Abigaili aliporudi nyumbani, alimkuta Nabali akifanya karamu kubwa nyumbani kwake kama ya kifalme. Nabali alikuwa ameburudika sana moyoni kwani alikuwa amelewa sana. Hivyo hakumwambia lolote mpaka asubuhi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:36 katika mazingira