1 Samueli 25:44 BHN

44 Wakati huo, Shauli alikuwa amemwoza binti yake Mikali, ambaye alikuwa mke wa Daudi, kwa Palti mwana wa Laishi, kutoka mji wa Galimu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:44 katika mazingira