1 Samueli 26:1 BHN

1 Baadhi ya wanaume kutoka mji wa Zifu walimwendea Shauli huko Gibea wakamwambia kwamba Daudi alikuwa anajificha kwenye mlima Hakila, upande wa mashariki wa Yeshimoni.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:1 katika mazingira