7 Nimesikia kwamba unawakata manyoya kondoo wako nataka ujue kwamba wachungaji wako walikuwa pamoja nasi, nasi hatukuwadhuru. Tena muda wote walipokuwa pamoja nasi mjini Karmeli, hawakukosa chochote.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 25
Mtazamo 1 Samueli 25:7 katika mazingira