8 Ukiwauliza, watakuambia. Sasa nakuomba vijana wangu hawa wapate kibali mbele yako, kwani tumefika wakati wa sikukuu. Tafadhali uwapatie chochote ulicho nacho watumishi wako hawa nami mwanao Daudi.’”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 25
Mtazamo 1 Samueli 25:8 katika mazingira