1 Samueli 26:14 BHN

14 Akaliita kwa sauti jeshi la Shauli na Abneri mwana wa Neri akisema, “Abneri, je, unanisikia?” Abneri akauliza, “Ni nani wewe unayemwita mfalme?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:14 katika mazingira